
Karibu kwenye duka letu ambapo unapata kila kitu unachohitaji kwa ajili ya nyumba yako.
Tunauza vyombo vya majumbani vya aina mbalimbali, kama vile vyombo vya kupikia, sahani, glasi na vitu vya mapambo. Iwe unatafuta vifaa vya kisasa au madhubuti vyote utajipatia, tunakuhakikishia ubora na bei nafuu.
Pia, tunayo mashuka ya aina mbali mbali. Unaweza kuchagua kwa rangi na mitindo tofauti ili kuendana na mapambo ya nyumba yako. Mashuka yetu yamefanywa kwa vitambaa vya ubora wa hali ya juu ambavyo ni laini, vyepesi na vinavyodumu kwa muda mrefu.
Na kwa wale wanaopenda mtindo wa kipekee, tunatoa vitambaa vya dishdasha vyenye ubora wa hali ya juu. Vitambaa vyetu ni laini, vyepesi na vina rangi nzuri ambazo zitakufanya uonekane wa kipekee. Chagua aina mbalimbali za vitambaa sasa kwa gharama nafuu.
Kwa Nini Uchague Duka Letu?
- Ubora wa Bidhaa: Tunatoa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu.
- Bei Nafuu: Tunatoa bei nafuu ambazo zinaendana na bajeti yako.
- Bidhaa mbali mbali: Tunaouza bidhaa mbali mbali ili kukidhi mahitaji yako yote.
- Huduma kwa Wateja: Tunatoa huduma bora kwa wateja wetu.
Tembelea duka letu leo na ujipatie bidhaa zetu zote! Nunua sasa na uipambe nyumba yako na vitu vya ubora kwa bei nafuu.
Usikose fursa hii!
Owner Message
ZanMarket Admin
Availability Time
Contact Info
- +255772553589
- esheabeid@gmail.com
- KwaHajitumbo, Zanzibar - Tanzania
Bidhaa zakee ni nzuryy mashallah na ni veryy affordable❤️.Ana huduma nzuryy sana kwa wateja wake na ni mtu muaminifu sanaa.
To begin with, she offers high quality products at the best affordable prices. She provides excellent customer care, knows how to communicate with customers, and listens to their feedback. If there is any issue, she makes an effort to resolve it because she strives to meet customer satisfaction and expectations. I swear you won’t regret buying anything from her.
Mashallah anahuduma nzuri sna na anawapenda wateja wake na mcheshi sana ,anawachangamkia wateja wake na anahuduma nzuri sna Inshort anaduma nzuri sana kupiliza